TRANSCRIPTSW

DUNIA SEASON 02 (Ep 18)

22m 7s2,069 words432 segmentsSW

FULL TRANSCRIPT

0:00

muda huu brother

0:02

>> eh ni mafupi tu lakini ni muhimu sana

0:05

ndio maana nikaomba tuzungumze sasa hivi

0:10

ni

0:12

tunazungumza mimi na wewe tu au pia

0:15

anaweza kuwepo wife

0:17

>> haina shida hata akiwepo kwa sababu ni

0:18

ya kawaida pia

0:21

>> okay niambie

0:23

boss m naomba kuacha kazi

0:35

dunia.

0:40

>> Haya we dada kituo chako ndio hichi hapa

0:42

shuka achiazio sita apate kujilamba. Eh

0:45

bwana kwani mimi si najua ninapoenda

0:47

naenda nao narudi nao nitakupa nauli

0:49

yako kwani shida iko wapi?

0:50

>> Kwani hili gari lako lina nini? Mbona

0:51

watu wanaling'ang'ania?

0:52

>> Ni Chris Bando huyu na nilijua tu

0:56

nimelipa kidogo. Wamenipa bando la

0:58

kutosha kiasi ambacho nimeamua

1:00

kuunganisha wifi ili wateja zangu waweze

1:02

kuenjoy. Jamani mtapotea kwenu bure hata

1:06

nyinyi mnaweza kujimiminia kwa uhuru

1:09

kabisa. Ukishakuwa na laini ya Halotel 2

1:11

unalipia 11 na kuungwa GB 10 zinazokaa

1:15

ndani ya miezi nane.

1:16

>> Ukitaka kumpata Chris Bando mpigie kwa

1:18

namba za simu hizi hapa 071704848

1:26

au 0785736361.

1:33

>> Ehe. Na namba hizo ni kwa ajili ya

1:35

kumpigia Chris Bando tu. Lakini kama

1:37

unataka ulipie bando lenyewe tumia lipa

1:40

namba na hakikisha jina linatoka

1:42

Christopher Luoga. Na baada ya

1:44

kukamilisha malipo yako utafuad ujumbe

1:46

wa muamala kwenye moja ya hizo namba za

1:48

Chris Bando usubiri kuungwa.

1:51

Chris Band

1:54

Kitonda

2:14

>> Yeah. ni hiari yangu mwenyewe nimeamua

2:16

iwe hivo kwa sababu kuna mazingira naona

2:18

kama yananinyima kuwa huru kwa hiyo

2:21

naona nikiachana na hii kazi pengine

2:22

mimi nitakuwa salama zaidi

2:25

kwa hiyo naomba niache hii kazi

2:33

brother

2:36

tutaongea kesh

2:38

kesho tutaongea poa

2:41

sawa

2:43

siku mwema Ah.

3:07

Kwa sababu nimesikia toka tuko njiani.

3:09

Ah hamna brother. Hii emergency tu hapa

3:11

imetokea sema chapo tu tunaondoka.

3:17

>> Emergence.

3:18

>> Emergency kitu gani? Wewe unajua kabisa

3:21

hiki ni chombo cha moto unahitaji

3:23

kukifanyia service. Kwa nini unaachaacha

3:24

hufanyi service?

3:26

>> Hamna sister.

3:28

>> Nyinyi ndio mnaosababisha ajali

3:29

barabarani. Mwanji huyu atatuchelewesha.

3:33

Hebu tusimamishe pikipiki ile pale.

4:04

nyinyi mna bahati mno

4:07

mna nyota ya kifalme.

4:12

Mkiunganisha nguvu zenu nyinyi wawili

4:15

mnaenda kuwa matajiri

4:21

nyinyi kinachowakost kuna sehemu ndogo

4:23

tu mmefungwa.

4:27

Niwaie

4:29

nikiweza kuitoa hii loki

4:32

nyinyi mnaenda kuwa matajiri.

4:38

Yaani akitoka Mo na Baleza

4:42

mtafuata nyinyi.

4:44

Nyinyi kinachowatesa

4:46

ni majirani zenu. Na ndio maana hata

4:48

usiku mkilala nyinyi mtasikia tu juu ya

4:51

bati kama watu wanatembea hivi. Talala

4:54

talala talala talala. naogopa

4:57

>> mh mh

5:00

mganga m hata nikawa sisikii usiku hizo

5:02

parala labda mwenzangu unasikia hizo

5:04

parala pala juu ya bati

5:05

>> mh sijajua labda tunakuwa tayari

5:08

ushavitwa na usingizi

5:10

>> ewa

5:12

nyinyi mgelala kama pono

5:14

na mimi sishangae yali hiyo kwa sababu

5:16

nyinyi mmefungwa

5:18

mmerogwa nyinyi akili zenu na ndio maana

5:21

mkilala kama mmekufa

5:23

tena niwaambie kabisa

5:25

Ndani ya hii nyumba yenu kuna kichanga

5:28

kimezikwa.

5:30

Na ndio maana ukiangalia upande wa

5:32

riziki

5:33

riziki na pesa kwa shida.

5:38

>> Mganga umeangalia vizuri kunesati milaya

5:40

kwako? Sisi tuna watoto hawa watatu.

5:44

Wawili kawapeleka kwao mmoja nimempeleka

5:46

kwetu. Na mganga mimi juzi tu nimetoka

5:49

kutoa mimba. Sasa sijui hicho kizazi

5:51

unachokizungumzia kipi mganga?

5:53

M

5:55

>> habari marafiki naitwa Manyanya na leo

5:58

nitawaonyesha jinsi biashara ya trading

6:00

inaweza kuwa si tu ya faida bali ya

6:03

kusisimua zaidi kupitia pocket brokuper.

6:05

Tutapitia mchakato wa usajili,

6:07

mashindano, zawadi na sifa zitakazofanya

6:09

trading iisi kama ni mchezo wa

6:11

kufurahisha na sio kazi ya kawaida ya

6:13

kuchosha. Tuanze na usajili. Ni mchakato

6:15

wa haraka na rahisi, hatua chache tu.

6:17

Hakikisha unatumia promo kodi yangu ya

6:19

Ashmacom 2 ili kupata bonus kwenye salio

6:22

lako na kuanza safari yako ukiwa na

6:24

faida za ziada. Moja ya sifa ya

6:25

kusisimua zaidi hapa ni mashindano.

6:28

Unaweza kujiunga na mashindano ya bure

6:29

au ya kulipia na kushindana na

6:31

wafanyabiashara wengine ili kujishindia

6:33

zawadi nono. Lengo ni rahisi. Fikia

6:35

matokeo bora zaidi ya biashara ndani ya

6:37

muda maalum. Wafanyabiashara wa juu

6:38

wanagawana zawadi za kweli na kwenye

6:40

mashindano ya bure unaweza kushindana

6:42

bila hatari yoyote ya kupoteza fedha

6:44

zao. Na hapa ndipo trading inapozidi

6:46

kuwa ya kufurahisha zaidi mfumo wa

6:48

gamification. Kwa kufanya biashara kwa

6:50

bidii kupata mafanikio na kushiriki

6:52

kikamilifu unapata almasi. Almasi hizi

6:55

zinaweza kutumika kwenye soko la ndani

6:56

kununua bonus, biashara zisizo na

6:58

hatari, kurudishiwa fedha, maboresho ya

7:01

akaunti au hata unaweza kuziuza. Kadri

7:03

unavyokuwa mchangamfu zaidi ndivyo

7:05

unavyofungua zawadi nyingi zaidi. Pocket

7:07

Broker pia inakuruhusu kurekebisha

7:09

mazingira yako ya kazi. Njia ya chatting

7:11

nyingi, mipangilio rahisi ya viashiria,

7:13

rangi na lugha. Kila kitu kinabadilika

7:15

kulingana na mtendo wako wa biashara.

7:17

Lakini pia kuna jumuia hai ambapo

7:19

wafanyabiashara wanawasiliana,

7:21

wanashirikiana uzoefu na kusaidiana. Na

7:24

usisahau kuhusu zawadi za mara kwa mara

7:26

kwenye mtandao wa kijamii. Zawadi za

7:28

ziada, bonus na zawadi nono kwa

7:30

watumiaji wanaoshiriki kikamilifu. Acha

7:32

nikuonyeshe haraka biashara mubashara.

7:35

Naifungua nafasi na naifunga kwa

7:37

mafanikio na hivi ndivyo biashara

7:38

inaenda kwa haraka na urahisi zaidi

7:40

kwenye Pocket Broker. Kama unavyoona

7:42

Pocket Broker inageuza trading kuwa

7:44

uzoefu wa kusisimua mashindano, zawadi,

7:47

kurekebisha monwonekano na jumuia. Fuata

7:49

linki iliyo kwenye maelezo, jisajili

7:51

kwenye Pocket Broker na usisahau kutumia

7:53

promo kodi yangu ya Asmacom 2 ili kupata

7:56

bonus na kujiunga na mashindano.

7:58

Asanteni sana kwa kutizama na kila la

8:00

heri kwenye safari yenu ya biashara

8:02

tuonane kwenye video ijayo.

8:10

Wewe wewe imekuwaje umetoka wakati

8:13

nilikuweka rock up na kesi yako bado

8:14

mbichi? Kwanza umetoka lini wewe?

8:18

Yaani Violet mimi nahisi wewe

8:19

hujashangaa huyu baba. Ah mimi

8:22

nimeshindwa

8:24

nimeshangaa mpaka nimehisi

8:25

kuchanganyikiwa Violet. kaja ofisini

8:27

kwangu pale nilihisi nimeona mzigo

8:30

hivi unajua kwamba kwenye hii nchi yetu

8:32

kuna rushwa rushwa ipo tena nje

8:36

mwanji ah ni saluti

8:41

yaani kwa aina ya kesi ambazo umeshikwa

8:43

nazo wewe sikutegemea kukuona leo yaani

8:46

niliwaza huko miaka 20 30 labda huko

8:49

ndio nitakuja kukuona we baba tena ukiwa

8:52

kikongwe umechoka umetoka mwanji boy

8:55

umetoka huko uraian

8:57

umechomoa baba

8:59

ah

9:01

yo kweli rushwa ipo nchini rushwa

9:05

inafanya kazi mimi vae huyu baba huyu

9:09

sasa na kama kuna watu wamekutoa wewe

9:11

baba basi ni mabilionea maana sio kwa

9:14

kesi ambayo ulikuwa nayo

9:16

baba kuna muda unanitisha

9:19

yaani naogopa

9:21

juu

9:24

M

9:28

m

9:30

Violet kipenzi

9:32

lazizi nyonga mkaliaini hivi unafikiri

9:35

mimi unaweza kuniteketeza kwa kesi ndogo

9:37

kama hiyo? Ah sio kweli mama.

UNLOCK MORE

Sign up free to access premium features

INTERACTIVE VIEWER

Watch the video with synced subtitles, adjustable overlay, and full playback control.

SIGN UP FREE TO UNLOCK

AI SUMMARY

Get an instant AI-generated summary of the video content, key points, and takeaways.

SIGN UP FREE TO UNLOCK

TRANSLATE

Translate the transcript to 100+ languages with one click. Download in any format.

SIGN UP FREE TO UNLOCK

MIND MAP

Visualize the transcript as an interactive mind map. Understand structure at a glance.

SIGN UP FREE TO UNLOCK

CHAT WITH TRANSCRIPT

Ask questions about the video content. Get answers powered by AI directly from the transcript.

SIGN UP FREE TO UNLOCK

GET MORE FROM YOUR TRANSCRIPTS

Sign up for free and unlock interactive viewer, AI summaries, translations, mind maps, and more. No credit card required.